- المجال: Personal care products
- Number of terms: 1447
- Number of blossaries: 1
- Company Profile:
The largest cosmetics and beauty company in the world, headquartered in Paris. The Body Shop is a subsidiary of L'Oreal.
Pia huitwa poda nyekundu inayotumiwa na wanawake kufanya nyekundu shiko zao, na kulainisha kituguta.
Industry:Cosmetics & skin care
Aina ya vipodozi inayotumika huficha chumusi, miviringo nyeusi na madoa madogo madogo yanayoonekana kwa ngozi. Tofauti na msingi, misetiri inayo onekana kuwa na pigmenti yenye uzani mkubwa huwa inapakwa kwa sehemunyinginezo, ilhali msingi huwa ikipakwa katika sehemu kubwa.
Industry:Cosmetics & skin care
Vipodozi vya ngozi vilivyo na ngozi vinavyopakwa katika uso ilikuleta unyororo, rangi sare kwa rangi ya asili, na kwa wakati mwingine, kubadili hali asili ya ngozi.
Industry:Cosmetics & skin care
Vipodozi poda vinavyopakwa katika uso ilikuweka msingi baada ya matumizi.
Industry:Cosmetics & skin care
Vipodozi vinavyotumiwa na wanawake nchini Misri na Uarabuni ili kunyeusisha pindo za kopo za macho.
Industry:Cosmetics & skin care
Kipodozi inyatumiwa kuzidisha urembo wa macho, kunenepesha, kurefusha, na/au kuashiria kope za macho.
Industry:Cosmetics & skin care
Kipodozi inyatumiwa kuzidisha urembo wa macho, kunenepesha, kurefusha, na/au kuashiria kope za macho. Huwa inapakwa ukingoni mwa macho
Industry:Cosmetics & skin care
Kipodozi kilicho katika hali ya kalamu ya mate ambayo hutumiwa kunyeusisha nyele za kope ya jicho.
Industry:Cosmetics & skin care
Kipodozi kinachoumiwa kuweka rangi katika midomo, iliyo na pigmenti, rangi, nta, na dawa ya kulainisha ngozi.
Industry:Cosmetics & skin care
Satu alat solek digunakan untuk meningkatkan mata, menggelapkan, menebal, memanjangkan , dan / atau mentakrifkan bulu mata.
Industry:Cosmetics & skin care